N° 216
MULIMANI MWA SAYUNI
1.
"Mulimani mwa sayuni yesu akajirika kwa wafwasi wake "2x "Mulimani ndefu sana ndipo roho alipo shuka mwilini mwetu "2x
Refrain
Ah jeho va mungu roho ameshuka mwilini mwetu "Lindeni mwana muwe na uzima"2x
2.
"Siku kuu ya pentekoste shindo ikanguruma chumbani cha juu "2x Gafula ikazidi mbingu ikatingisika dunia katetemeka .
3.
"Muti muzuri utshipukao unaonekana kwa matunda yake "2x "Mwanadamu akiwa mupya anatambulikana kwa matendo yake "2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand