N° 217
WA NDUGU MUSINITAABISHE
1.
Wa ndugu musinitaabishe hamujui huko niendako naenda kwa baba kunako makao mengi, twache kuchukiyana kusingizana maneno mengi (eh mimi) naenda kwa baba kunako makao mengi.
Refrain
ni faida gani ni kufuru roho nipate uzima kwa nani ni faida gani ni kufuru neno nipate uzima kwa nani"2x Mungu yoyoyo ni shutumiwapo sikitu kwangu hakika bwana sitakuacha.
2.
Furaha yangu katika bwana haipendeze wingine miongoni mwetu , mungu wangu , mungu ni wewe ulinipa furaha .
3.
Ni fanye nini mungu nipate kuriti uzima wako eh baba kwa imani tu eh tukipenda kuriti kwa imani tutariti inchi.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -kweli , kweli baba zetu aliriti kwa imani tutariti inchi
-Ndugu yangu ukipenda kuriti " " " " " " " "
-Na mitume waliriti kanana " " " " " " " "