WALIPO KUWA CHOMBONIE — Cantiques EUJC

N° 220

WALIPO KUWA CHOMBONIE

1.

1. Walipo kuwa chomboni yesu na wanafunzi wake ¨Upepo ukaanza kuvuma kweli yesu akalala ¨2x (upepo kweli)

Refrain

Petro akanena eh rabi mbona umelala amkauone ginsi tuatabika utuwokowe eh baba mwana wa mungu.

Commentaire

-Bahari ni mbele yetu utwokowe yoyoyo mwana wa mungu

-Tu naanza kutumbukia ¨ ¨ ¨ ¨ ¨ ¨

-Upepo ni mbele yetu ¨ ¨ ¨ ¨ ¨ ¨

Eh musiogope nyinyi wenye imani ndogo hamujuwi safarini yetu ni ya upepo naya magogo na shimo.

-Safari kupata uzima niya upepo na ya magogo na shimo

-Safari ya mu kanana ¨ ¨ ¨ ¨ ¨ ¨

-Safari ya ku mulima ¨ ¨ ¨ ¨ ¨ ¨

Eh wajoli wangu chombo ni uduma za baba bahari ndio dunia , upepo ndio maneno wanao tunga kwa kuharibu huduma.

-Asema kule kuneno wanayo tunga kwa kuharibu huduma

-Asema ku chebe chani ¨ ¨ ¨ ¨ ¨

-Akuna bibi wa mutu ¨ ¨ ¨ ¨ ¨

-Asema niba kuzimu ¨ ¨ ¨ ¨ ¨