YESU KAWAMBIA WAFWASI — Cantiques EUJC

N° 224

YESU KAWAMBIA WAFWASI

1.

Yesu kawambia wafwasi mungoje hadi roho wa mungu alie hai mukono wa uweza "2x roho mwema ameshuka leo vicwani petu hapa.

Refrain

(Nani yule ) nani atakae nyagiza kuja kwa yesu ulimwenguni) nani yule kweli nani atakae nyagizia kwa neno nimepata uzima nani yule kweli , nani atakae nyagizia uzima umeshuka mwilini "2x

2.

Jiwe langu la tegemeo yani roho ya mungu "Kwa shida na magonjua , taabu na mauti "2x kweli viote.vimeondolewa nami ni me pata uzima.

3.

Nguvu hihizi ni me vaa ni dawa ya vita "2x kwa mimi kushinda mambo kshinda na kifo kweli mimi ni meshinda vikwazo viote via watu na vitu.