N° 225
APO MWANZO LILIKUWEKO
1.
Apo mwanzo, Apo mwanzo lilikuweko neno naye neno alikuwa huyu mwanzo , huyu mwanzo alikuweko kwa mungu akatenda mema kweli .
Refrain
Naja leo , naja leo naja kwako masiya napenda nipelekwe.
2.
Nakiri , nakiri zambi zangu zote unirehemu mimi ni mukosefu , nikasikia , nikasikia wito wa bwana ukiniagiza nitapeleka nani.
3.
Uduma , uduma za bwana mungu ni ngumu twitimize kwa hiyari , "Tufanye "2x kwa maharifa na kwa hekima na vitu vietu viote.
4.
Ulifanya, ulifanya uduma njema mungu mwenyezi mumbaji wa viote.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand