N° 321
PETRO KAMWAMBIA YESU
1.
Petro kamwambia yesu , mfulame wangu mimi ni na huodari wa kufariki na wewe "Nitaenda nawe katika gereza "2x (mi huyu)
Refrain
Jogo hajanza ku wiga wewe utamukana yesu kwajili ya mambo haya mfulame utamukana.
2.
Mwanamuke mufanya kazi akamwakikisha mutu huyu alikuwa na yesu kristu "Petro akaapa ya kama mimi si mu juwi "2x
3.
Alipozungumuza na watu wakamwakikisha mutu huyu ni mumoja wa wenye neno usemi wake umemujulisha.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand