TUFANYE HUDUMA — Cantiques EUJC

N° 322

TUFANYE HUDUMA

1.

Tufanye huduma za bwana mungu wetu bwana wa majeshi ata fariji.

Refrain

Tu fanye huduma za bwana kwa nguvu na kwa furaha ili tu pewe ujira kwa bwana , (ujira) ni uzima wa milele.

2.

Sisi twajitolea kufanya huduma mpaka mwisho wa maisha yetu.

3.

Tulichaguliwa katika ulimwengu ili tuwe wafanya kazi nawe.