N° 323
BASI NITASEMA NINI KWA MUNGU
Refrain
Basi nitasema nini kwa mungu wangu tamsii mumbaji wangu roho, roho shuka uduma zitimilike eh baba roho , roho shuka na mimi ni pumuzishwe.
1.
Mumbaji wangu tazama wote ulionipa sikupoteza hata moja ila mwana wa kuasi.
2.
Kumbuka taabu yangu katika huduma huu sikupenda kujinua kwajili ya jina lako (eh baba)
3.
Babanguunitukuze kwa utukufu ni liokuwa nao hilin awe utukuzwe ndani ya awa ulionipa.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand