YESU UNENA ,UNENA HAKI KWELI — Cantiques EUJC

N° 327

YESU UNENA ,UNENA HAKI KWELI

Refrain

"Yesu unena , unena haki kweli yoyoyo "2x yakiniew yoyoyo , tumiharifu ni namna gani mwili humu ni mateso tumiharifu ni namna gani katika mbingu ni furaha Ikiwa mutu hakuzaliwa maradufu "Kwa maji kwa roho hawezi kuona ufalme wa mungu "2x

1.

Nikodemu akamuliza mwana mungu hivio "mutu mukongwe ( mukongwe ) mutu mukongwe ye ataingia je tumboni mwa mama e azaliwe maradufu.

2.

Mwenye kuzaliwa kwa mwili na yeye ni mwili bali azaliwaye kwa roho na yeye ni roho stajabu kwa neno uzaliwe maradufu "2x

3.

Nikodemu eh kamuliza ya weza je mambo haya yesu naye akamwambia wewe hu mwalimu wa israeli huya fahamu mambo haya yakin yakini we ! twawambia lile tulijualo (yoyoyo) twawambia lile tulionalo (yoyoyo) hawa sikie yoyoyo hawa amini.

Commentaire

Com :-Watu hawa hawasikie yoyoyo hawa amini.

-Wawwala makoti " " " " " "

-Wa vula viatu " " " " " "

-Wa batiza ku maji " " " " " "