N° 328
WAJOLI WETU WAPENZI
1.
Wajoli wetu wapenzi nilio kwa nao katika Musa "Wanaanza kutenda kama wa chawi wote hawapendi kunitazama wa kishanga usikitika unena mimi na angaika "jehova mungu unipokee "2x
Refrain
Ah dunia (kweli dunia ) dunia imearibika usherati unaharibu inchi .
2.
Mambo yote ya duniani niliyatenda mara nyingi sikupata faida kwa mambo haya sikupata kitu kwa mambo haya ila ziki kwa mambo haya amani haimo duniani "Jehova mungu unipokee~2x
3.
Mimi siwezi kutukuzwa kwa jambo lingine la duniani ila tu kumusalaba wa yesu mwana wa mufalume mambo haya ya ni sulubisha kwangu nami ni kafa kwa mambo haya "Jehova mungu unipokee ~2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -(kweli dunia) dunia imeharibika kusengenia kuharibu inchi
-( " " " " " " " Na uchawi unaharibu inchi
(Mungu ) mungu ni shike mikononi mwako ni pokee karibuni karibuni kwa jina la mufalme.