N° 329
NA MASWALI YAKO WEWE INAKUTABISHA
1.
1. Namaswali yako wewe inakutabisha ¨2x ndugu yangu usione fahari kwa mungu wa uzima
2.
- Na bulozi bwako wewe, bunakutabisha
- Na kusemama kwako wewe, kunakutabisha
- Na madawa yako wewe, inakutabisha usione fahari kwa mungu wa uzima
3.
2. ¨Ju ya nini usione fahari ya mungu wa uzima ¨2x Wakati umetimia kwa kumuhimidi
- Tazama wafundi wangaliko, Wakati umetimia kwa kumuhimidi
- Tazama waimbaji wangaliko, Wakati umetimia kwa kumuhimidi
- Tazama majulisho ingaliko, Wakati umetimia kwa kumuhimidi
Moyo wa wewe unakutabisha , moyo wako wakiburi una kutabisha ( ndugu yangu ) usione fahari wa mungu wa uzima.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand