N° 330
UKIHITAJI KUWA MUKRISTU
1.
Ukihitaji kuwa mukristu ila usulubishe mwili wako kwa tamaa na mawazo mabaya ngisi alivyo fanya Yoane .
Refrain
(Macho) macho yasione , yasisikie masikio , pua isinuse mikono isiguse, kinwa kisinene.
2.
Tutowe matunda ya roho upendo , furaha , amani , fazili , uvumilivu , utu wema, uwaminifu , upole , kiasi.
3.
Tuwe wa hudumu wa kweli (tuwe wa hudumu wa bwana ) ila kwa kutabiri habari njema mahali pote tuta kapo kuwa . (tutakapo kwenda ngisi alivyo tabiri Yoane)
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand