JEHOVA MUNGU WETU KA ELEZA WANADAMU — Cantiques EUJC

N° 331

JEHOVA MUNGU WETU KA ELEZA WANADAMU

1.

Jehova mungu wetu kaeleza wanadamu kumbukeni neno hili uliomba kwangu.

Refrain

Ah ! Eh baba naziri zangu , naziri zangu nitaitimiza mungu wangu unilinde hai.

Commentaire

Com : -Nitaombea watu nitaitimiza mungu wangu unilinde hai

-Nitafanya faraja " " " " "

-Nitafundisha watu " " " " "

2.

Hufanyapo agano kumbuka wingi wa siku timiza neno hili uliomba kwangu.

3.

Kasirani ya bwana ni kwako wewe ulifanya agano bila kutimiza (hakutimiza ) mungu wako atakuhazibu.