N° 332
MAMBO ILIOFANYA YESU
1.
Mambo ilofanya Yesu alipo fuufka ku wafu akajirika huhai siku arubaini kanena mambo ya ufalme , ufalme wa mungu.
Refrain
Bali nyinyi mutapokea hadi amishukiapo roho mwema mwilini mwenu , kweli nyini mutakuwa washuda wangu mu yudae yote ah ah musamaria hata mipaka ya dunia (hata mwishoni wa dunia.) "Basi kwaleo tumesubiri roho mwema ndio hadi ya baba "2x
2.
Alipo kusanika nao akawambia wote hivi mubaki mu yerusalema muongoje hadi ya baba hadi ya baba ija yo roho mwema wa mungu.
3.
Lakini Yoane akabatiza kwa maji siku zinabaki chache mutabatiziwa wote , mutabatiziwa wote na roho mwema wa mungu.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Hadi idiayo tumesubiri roho mwema ndio hadi ya baba.
-Hadi ya mungu " " " " " "