TWAONDOKA MULIMA WA SINAI — Cantiques EUJC

N° 333

TWAONDOKA MULIMA WA SINAI

1.

1. Twaondoka mulima wa sinai ¨Tukipanda mulima wa sayuni ili nipate uzima (2x)

Refrain

Nauwa roho yangu (mimi) nauwa nafsi yangu ¨mimi nauwa mwili wangu ili nipate uzima (2x)

3.

2. Ulichaguwa mababu ulichaguwa mitume, ¨Unichaguwe na mimi ili nipate uzima (2x)

4.

3. Si ajabu wewe kunichagua Ewe mumba wangu Ila kwa rehema yako mimi tapata uzima (2x)

5.

334. TWAONDOKA MULIMA WA SINAI

6.

1. Twaondoka mulima wa sinai, sisi twaondoka mulima wa sinai (2x) Tukipanda mulima wa sayuni, sisi tukipanda mulima wa sayuni (2x)

Refrain

Sayuni ¨ ¨ sayuni ¨, sayuni, sayuni tuaitaji Sayuni inchi nzuri sana ¨2x

-Kolwezi twaitaji sayuni inchi nzuri sana

-Bunkeya ¨ ¨ ¨ ¨ ¨

-Likasi ¨ ¨ ¨ ¨ ¨

-Kapolowe ¨ ¨ ¨ ¨ ¨