N° 336
NINANI ATAHUKUMU WATEULE WA MUNGU
1.
Ni nani atahukumu wateule wa mungu (2x) yoyowe Mungu peke yake ndie mwamuzi wao (2x)
Refrain
Ni nani, ni nani atakae nitenga mimi na
upendo wa mungu yoyowe ni baba yangu ao ni mama yangu ni mume wangu ao ni muke wangu na watoto wangu hawata weza kunitenga (2x)
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
- Ni ni, ninini kitakacho nitenga mimi na upendo wa mungu yoyowe ni macho ao masikio yangu ni kinywa changu ao ni zambi zangu
Mikono na pua avitaweza kunitenga (2x)
-Nini, ninini kitakacho nitenga mimi na upendo wa mungu yoyowe ni shida zangu ao ni ziki zangu ufukuzo na njaa , ao ni utupu wangu ¨Hatari upanga avitaweza kunitenga ¨2x
-Nini , ninini kitakacho nitenga mimi na upendo wa mungu yoyowe mauti uzima ao malaika wote mamulaka yote ao biakusemasema ¨kiumbe chochote hakitaweza kunitenga¨2x
¨Imeandikwa mateso ya Yesu ni kwajili yangu ¨2x ¨Kristu ameteswa leo kwa kuniokoa mimi ¨2x