N° 338
SAFARI YA YESU KUTOKA BETANIA
1.
Ayo ili kwa ni safari ya Yesu kutoka betania alipo sikia njaa akauona muti kwa mbali wenye kuwa na majani.
Refrain
"Ewe baba na we mama jazare kutowa matunda "2x Ewe ndugu "Tujiazari kutowa matunda isio kufaha toba "2x
2.
"Na wakati alipo karibia hakuona kitu kwake "2x Yesu naye akasema hata milele mutu asiwezi kula matunda kwako.
3.
"Nitaweza je mimi kutoa neno isipo kuwa kwa nguvu yako "2x kupitia ndani mwangu ili kila mutu- asikie neno aweze kukutukuza.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Tunda ni neno tujiazari kutowa matunda isio kufaha toba
-Majani ni matendo " " " " " " "
-Muti ni mutu " " " " " " "