YELELELELE — Cantiques EUJC

N° 340

YELELELELE

1.

Ye lele lele ah! lele jambo gani eh ah lele , jambo lakushangza yesu alitufia ju ya zambi maovu nayo haikome ingali inaendelea.

Refrain

Tufanye nini ¨Twenende kwa mungu baba tutubu uwovu wetu tuzaliwe maradufu ¨2x

Commentaire

-Dada yangu tufanye nini twenenda kwa mungu baba tutubu uwovu wetu

tuzaliwe mara dufu

-Mama yangu ¨ ¨ ¨ ¨ ¨ ¨

-Ndugu zangu ¨ ¨ ¨ ¨ ¨ ¨

-Waminifu ¨ ¨ ¨ ¨ ¨ ¨

4.

2. Kwapa , kwapa ni vibaya tazama hali ya herode , herode kahamuru hivi wakate kichwa cha yoane waja na kwenye sahani.

Herode ee , herode ee , herode , herode mutu wa bure , herode mutu muwovu , herode kahamuru hivi wakate kichwa yoane waje nacho kwenye sahani.