N° 341
WAISRAELI WALIPOONA
1.
Waisraeli walipoona Musa amekawa mulimani wakamwambia Aruni uje utufanizie ndama utufanizie miungu itakayo kwenda mbele yetu "Hatujue kitu gani kimepata Musa mulimani"2x
Refrain
Huduma za baba zimearibika mambo ya vizazi zimeharibu huduma nayo ya macheo zimeharibu huduma , ( Musa baba) musa shuka mulimani huduma zitimilike , musa shuka mulimani na sisi tuokolewe.
2.
Safari ya kwenda kanana ili kuwa ndefu "Sisi atujue kama kweli tutaokolewa "2x Mwili mukupiganishwa roho mukupiganishwa "2x "Enyi wateule wa mungu mutuombee kwa baba "2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand