KUREJEA KWANGU — Cantiques EUJC

N° 226

KUREJEA KWANGU

Refrain

Kurejea kwangu kuna furahisha baba yakini , yakini baba nimekoseya mbingu mimi , yakini , yakini baba ah, ah ni metenda zambi machoni pako usinite muzaliwa wako mimi ni mutumishi wako.

1.

Mavazi yangu ya mepasuka mimi muharibifu wa vitu vya baba maganda ya miti viakula via nguruwe ni vyakula vyangu (mimi) "Nime pote anime potea baba yangu "2x

2.

Nirudi , nyende kwenye baba nilie eh nimepotea niliee eh nime potea, nime potea, nime potea baba yangu nime rejea , nime rejea , nime rejea baba yangu.

3.

Mu muvikeni mwana wangu kitani nzuri , mu muvikeni ii pete kukidole , mu muvikeni ii viato ku miguu njoni twimbe tu furahiwe kwajili ya mwana.

Commentaire

Com :-Kwajili ya mwanangu , ya mwanangu ali e potea , alipotelea wapi mu mambo yawat u, ali e potea mu bulozi na chuki , ali e potea mu bulevi na bwizi , ana rudia leo njoni twimbe tufurahiwe kwajili ya mwana , njoni twimbee tufurahiwe kwajili ya mwana.