N° 227
MWANA MUPOTEVU
1.
"Mwana mupotevu akenda kwa baba e "2x huyu mwana "Akamwambia hivi unipe sehemu za mali "2x mimi naenda mahali pangu"2x
2.
Baba akafikili akamupa sehemu za mali 2x akienda akifurahi katikati ya njia , akienda akifurahi katikati ya njia.
3.
Mahali alipoenda akapoteza mali "2x kwa maisha mabaya ya wa sherati.
4.
"Mwana akafikili kwa kurejea "2x nyumbani mwao kuko babae .
Refrain
Babayangu mupendwa baba umupokee yoyoyo kwa kuonesha upendo wako
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com :-Mutoto mpumbafu " " " " " " "
-Mutoto mujinga " " " " " " "
-Mutoto mulozi " " " " " " "
-Mutoto kahaba " " " " " " "