N° 228
WE ULIE MUPOTEVU
1.
We ulie mupotevu kumbuka unayo tenda Ukiwa mwenye kujiuliza ndani yako wewe (wewe mujoli)
Refrain
Ujiulize, ujiulize mujoli ujiulize, ujiulize kama yote unayo tend aya pendeza mwenyezi wa uzima
Yulemwana mupotevu akaanza ku jiuliza akisha poteza mali akaomba toba yake.
4.
Mbele ya kutenda jambo ni vizuri kujiuliza usiuwe manabii walio ndani yako.
Commentaire
- Mujoli usiuwe manabii walio ndani yako
- Wewe rafiki
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
- Mwana huyu akisha poteza mali akaomba toba yake
- Kwa baba yake...
- Nyumbani mwao...
- Mujini kwao...