N° 229
WENYE NA MIZIGO NJONI
1.
Wenye na mizigo njoni, njoni nyinyi wa bebao mizigo mizito yesu ukualika njoni nyinyi wa bebao mizigo mizito.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
N° 229
Wenye na mizigo njoni, njoni nyinyi wa bebao mizigo mizito yesu ukualika njoni nyinyi wa bebao mizigo mizito.
Commentaire
- Huko wewe una jificha na mizigo yako -Uwendapo na mizigo yako
- Uketipo...
- Ulalapo...
- Ati baba ¨Konokono wa mama wa masikio ngumu, konokono akafwa na mizigo nyuma konokono eh (konokono) akateswa tumuzomee yuhu ¨2x konokono akateswa.
- Wenye na ulozi njoni, njoni nyinyi wa bebao ulozi rafiki yesu hukualika, njoni nyinyi wa bebao ulozi rafiki huko uko na jificha na ulozi wako
- Uwendapo na ulozi wako
- Urukapo ¨ ¨ ¨
- Huko nawe ¨ ¨ ¨
Konokono wa mama wa masikio ngumu