N° 230
NIA ZA MWILI
1.
Nia za mwili na za roho "ziko zina shindana kama vita "2x
Refrain
Chaguwa , chaguwa wewe chaguwa yako njia eh we mujoli chaguwa yako njia ya wewe kwenda
2.
Nia za mwili ni ngumu sana "hupinga furaha , kupenda mateso"2x mwili huyu mwili unitenganisha na mungu wa uzima .
3.
Vita ya mambo haya ni ngumu sana sio ya nyama na damu ya mwili zetu vita hiyo ya mafalme ya mamlaka ya ulimwenguni.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand