N° 231
KATIKA MUJI WA YERUSALEMA
1.
Katika muji wa yerusalema mufalme Herode akauwa wana wa changa wasio na hatia yeye akizania ya kwamba yesu atapatikamo vidudu kamwangukia Herode akakufa gafula.
Refrain
Eh sikieni wajoli sauti kasikiwa rama vilio na maombolezo , Rakeli akililia wana wake wana wake wa changa hataki kufarijiwa sababu awake.
2.
Waohi liaza renki waa mambo mu ya nenayo Wajoli jiazareni kwa mambo mu ya tendayo , Mungu wetu siwa kutenganisha ni mungu wa rehema nyingi ah , ah weme usiwe mududu kati ya wana israeli usije ukakuwa wewe shamba lake ni rama.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand