N° 245
NDUGU NA RAFIKI
1.
1. Ndugu na rafiki tazama wingu za mbingu ¨Kuongoza wana israeli kwingia inchi ya kanana¨2x
Refrain
Wanangu wachanga tu shangilie mungu , mungu wa mababu ndie mungu wa
ukweli ¨2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
-Huyu mungu wa ukweli mungu wa mababu ndie mungu wa ukweli
-Huyu mungu wa Mwambi ¨ ¨ ¨ ¨ ¨
-Huyu mungu wa neno ¨ ¨ ¨ ¨ ¨
¨Wewe mujoli wangu mujoli umehasi neno ¨2x ewe mujoli mujoli wangu kwajili ya anasa ya dunia¨2x
-Kwa kiburi kia macho kwajili ya anasa ya dunia
-Kwa kiburi kia mwili ¨ ¨ ¨ ¨
-Kwa bwivu na chuki ¨ ¨ ¨ ¨
Sisi zote pia tulikuwa wana wa mwili tukafwata njia za watu anasa imesonga sana neema ya bwana imekuja kwangu ni meitwa mwana wa uriti.