N° 177
TUSHUKURU MUNGU
1.
Bwana mungu, katupenda kamutoa mwana wake yesu wa mungu akaja kwa kuniokowa mimi mimi huyu nashukuru mungu wangu kwa kuwa ni mwema
Refrain
Tushukuru mungu, kwa kuwa ni mwema, tushukuru mungu kwa kuwa ni mwema
3.
Bwana mungu katupenda kamutoa roho wake, roho wa mungu akaja kwa ku nifariji mimi roho wa
Mungu akaja kwa ku nifariji mimi, mimi huyu na shukuru mungu wangu kwa kuwa yeye ni mwema.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand