N° 179
NJONI TWIMBE NA FURAHA
1.
Njoni twimbe na furaha , na furaha njia imefunguliwa ya mbinguni kwa walisitiriwa bwana utuonyeshe.
Refrain
Mfalme twakushukuru, twakushukuru , bwana twakushukuru jehova, Baba mungu alimutoa mwana wake yesu kristu aokowe watu.
3.
Shetani ulipinga, neno lake mwokozi (kweli, kweli) yeye ni adui zetu, hutaka utwangamiza. Shida, shida ni nyingi sana, nyingi sana mashindano ni mengi, aleluya (kweli kweli) bwana utufariji katika mahasi zote
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand