TWASIMAMA MALANGONI — Cantiques EUJC

N° 180

TWASIMAMA MALANGONI

1.

Twasimama malangoni pamoja na malaika zake. Tukimwimbia yoyoyo tukimwimbia Bwana (2x)

Refrain

Aleluya, aleluya (2x) yoyoyo

- aleluya Mungu Mufalme,

- aleluya Mwana wa Mungu,

- aleluya Roho Mwema wajoli twimbieni Bwana.

3.

Twaimba, twaimbia Mungu Baba, twaimbia sisi twaimbia Mungu Mufalme, wateule wa Mungu wa uzima twaimbia

Mungu Mufalme, twaimbia Yesu Mwana, twaimbia Roho Mwema