N° 185
KWA KWENDA MBINGUNI EH
1.
Kwa kwenda mbinguni mbinguni eh kupitia kwake yesu yoyowe "Kwa kwenda mbinguni kupitia kwake yesu "2x "yesu ndie mulango ya kwingia mbinguni"2x
Refrain
Fahari na iwe "2x fahari na iwe kwake ,bwana mungu wa mbingu mungu wa mbingu amenipa nguvu kwa mimi kushinda dunia kweli fahari na iwe kwake bwana mungu wa uweza , mungu wa uweza amenipa uweza kwa mimi kushinda dunia. Fahari na iwe kwake bwana mungu wa amri, mungu wa amri amenipa amri kwa mimi kuhukumu shetani.
2.
Baba yangu na mama yangu , ndugu zangu na watoto wangu "musi ni koseshe kwa mimi kwingia mbinguni "2x "mbingu humo muko fahari na salama mbinguni"2x
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand