HUU NI MUHULA MWEMA — Cantiques EUJC

N° 186

HUU NI MUHULA MWEMA

1.

Huu ni muhula mwema kumuhimidi alie (alie hai) "fahari na iwe kwake bwana mungu wa mbingu "2x (bwana mungu wa mbingu )

Refrain

"Aleluya "3x (aleluya ) aleluya ozana alie alie hai fahari na iwe kwake bwana mungu wa mbingu (mungu mumbaji)

2.

Mbingu na dunia yote sikizeni eh , sikizeni eh alie alie hai fahari na iwe kwake bwana mungu wa mbingu "Enyi waminifu wote"