YESU KANYANYULIWA — Cantiques EUJC

N° 189

YESU KANYANYULIWA

1.

Yesu kanyanyuliwa kaenda kwa baba , kawaagiza hivi chungeni wote ahadi za baba "2x

Refrain

"Enyi wajoli shukuru mungu shukuru yesu shukuru yesu "2x roho ameshuka Enyi wajoli shukuru mungu " " " " " " " " " " " " -

2.

Walipo keti nyumbani kwa jumla kawambia hivi chungeni wote yerusalema "2x kawa fundisha ufalme wa mungu aliokuwa nao katika siku arubaini "2x

3.

Walipo kuwa mu yerusalema chumbani cha juu roho akawashukia wote "2x