N° 240
SHETANI UVUTA YESU
1.
Shetani uvuta yesu uvuta wewe itaji unakoenda "2x
Refrain
Bwana mungu mimi ni kosefu duniani bwana wangu , bwana wangu unirehemu.
2.
Mimi sina , sina haja na marafiki za ulimwengu bwana wangu unirehemu .
3.
Wengi , wengi wana upendeleo kwa wajoli wao bwana wangu unirehemu.
4.
Marafiki wema ni malaika za mbinguni bwana wangu unirehemu.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand