N° 278
MOYONI MWANGU MUNAMO UZUNI
1.
Moyoni mwangu munamo uzuni, Jehova Mungu nikitamani kuondoka dunia eh baba kwani dunia munamo machozi kilio kwa mutu wa Mungu kuteswa mwilini ¨Jehova Mungu
je eé Baba haya ni mateso.¨2x
Refrain
Mufalume wangu mushinda, tazama madui zangu wako natafuta uzima wangu nisitiriwe mwilini.
- wachawi wote: wako natafuta uzima wangu nisitiriwe mwilini.
- baimbwa haba: wako natafuta uzima wangu nisitiriwe mwilini.
- mapepo haya: wako natafuta uzima wangu nisitiriwe mwilini.
3.
Nikitazama humo duniani uovu unizunguruka mitego na nyavu utandikwa mu njia yangu ni fanye je mimi munaziri wa mungu haya ni mateso.
4.
Nialike nani ulimwengu humo nzige na nge unipiganisha mafalme za giza ushambulia njia yangu Roho na moyo ufazaika ndani yangu haya ni mateso
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand