JUA LIMEPANDA — Cantiques EUJC

N° 279

JUA LIMEPANDA

1.

Jua limepanda falme nazo djiandaa¨2x ¨Jehova mungu uje leo uje upikane vita¨2x

Refrain

Eh mumbaji wangu, mumbaji wangu na teswa sana tuma malaikawaje wapikane vita

Commentaire

- Utume na Mikaeli tuma malaika wako waje wapikane vita

- Utume na Samsoni...

- Utume na Gideoni...

- Utume na Kasieli...

4.

Nimepiganishwa jioni na usiku, nimepiganishwa jioni na usiku Njia zime fungwa falme nazo ziaanda

5.

Jehova nina kuombae nina kuomba uniondoshee mwiba Ili ni ishi salama, ili niishi salama