MUNGU WANGU NINA KUOMBA UNIJAZE NGUVU — Cantiques EUJC

N° 280

MUNGU WANGU NINA KUOMBA UNIJAZE NGUVU

1.

Mungu baba nina kuomba unijaze nguvu pia na uweza wako Kwanini adui wamesimama kwa kwaribu kazi yako

Refrain

Eh baba, mungu tazama zige na nge wameunga singa zao eh baba, bwana uje uwangamize.

Commentaire

- Walozi awa wameunga singa zao eh baba bwana uje uwangamize.

- Na wachawi wote

- Nzige na nge¨¨¨¨

4.

Kuna wengine wana ufahamu mwingine wanawinda wana wako baba uje uwangamize, wana winda wana wako uje uwangamize, Ili wana wako mungu wangu wapate kuokolewa

5.

Ijaapo nina ofu kwa kwaribu kazi yako baba nina kulilia nishindie vita yote, baba nina kulilia upikane na adui zangu

6.

Nikitazama upande wa mangaribi na mashariki eh nikitazama upande wa kusini na kaskazini eh mimi ndipo mimi nimezungukwa na vita pande zote.

Commentaire

- Bila sababu ndipo mimi ni mezungukwa na vita pande zote

- Bila kujuwa ¨ ¨ ¨ ¨ ¨ ¨ ¨ ¨

- Ata ni imbe