VITA VIETU SI VIA MWILI — Cantiques EUJC

N° 281

VITA VIETU SI VIA MWILI

1.

Vita vyetu si via mwili (si vya mwili ) wala vita si vya damu baba yangu baba , Eh ! baba yangu nalika jeshi la mbingu.

Commentaire

Com :-Ni nalika Mikaeli Eh ! baba yangu nalika jeshi la mbingu

-Ni nalika Nafutali

-Ni nalika Samsoni

2.

Wanadamu walisema (walisema) roho mwema hatashuka tena kwetu leo "Eh baba yangu mungu wa rehema."2x

Commentaire

Com :-Baba yetu wa rehema

-Katolika walisema roho mwema hasitashuka tena kwetu leo mungu wa rehema

-Watemai " -

3.

Watu wote njoni mwone roho mwema ameshuka tena kwetu leo eh baba yangu (Fahari na iwe ) eh baba yangu fahari iwe kwako.

Commentaire

Com :-Fahari iwe kwa mungu wa kadima baba eh baba yangu fahari iwe kwako

-Fahari iwe kwa mungu wa muneno

-Fahari iwe kwa mungu wa kyungu