N° 284
MISINGI IMESIMAMA
1.
Misingi imesimama majeshi mutikisike "Ushuuda huonekane mu mbingu na mu dunia."2x
Refrain
Enyi majeshi la Daudi shikeni silaha zenu mapambano ni makali mu mbingu na mu dunia
2.
Kizazi kia kwanza na kia pili kiungane na kia tatu na kizazi kia ine kimeja na utukufu.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
Com : -Mikaeli uje mapambano ni makali mu mbingu na mu dunia
-Samsoni uje " " " " " " "