N° 285
MAISHA NA MOYO WANGU
1.
Maisha na moyo wangu nina kupa bwana unilinde siku zote mikononi mwako ijapo vita ni kali hapa duniani wewe ndie mumba wangu baba usinyache.
Refrain
Maisha yangu yote nina kupa baba , baba unishindie , na bulozi bwangu bote nina kupa baba , baba unishindie Ah eh baba nishindie vita iyo ya walozi na wachawi, nishindie vita iyo ya wafalme wa shetani.
2.
Ningekuwa ndege za mbingu singe pata taabu ningeita malaika wa kunipigania , ningeita mikaeli nguvu za mungu baba pia na kasieli mutawala wetu.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand