N° 286
WATU WENGI WANAPENDA KUABUDU MIUNGU
1.
Watu wengi wanapenda kwabudu miungu wanaacha mungu wa uzima , wa uzima uzima wa milele.
Refrain
Kweli, kweli na walozi wanaacha mungu wa uzima, wa uzima uzima wa milele.
4.
Wakikuja kwa vita mimi tapanda mbinguni nitabeba malaika wa vita watakuja kunipiganiya.
Commentaire
- Kweli nitabeba Mikaeli wa vita atakuja kunipigania
- Mimi... Kasieli
- Mimi... Gideoni
- Mimi... Nafutali
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
- Na wachawi wanaacha mungu wa uzima, wa uzima uzima wa milele.
- Na wa fumu...
- Na walozi...