N° 304
JAMBO YENU
1.
Jambo yenu , jambo yenu ( jambo yenu) tuwa salimie na furaha "2x
Refrain
Sisi tupendane tuone jehoa tukamatane tusimame imara jambo yenu , jambo yenu tuwa salimie na furaha .
2.
"Tukifata "2x mapendo ya kweli ya mu yesu mwana .
3.
Baba mungu , baba mungu kwa rehema yako tunaonana leo.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand