MUNGU USIKILIZE — Cantiques EUJC

N° 305

MUNGU USIKILIZE

1.

Mungu usikilize maombolezo yetu bwana uje karibu utufarijie .

Refrain

Wajoli yoyoyo wajoli wa bwana (bwana mungu ) tupo wageni hapa duniani.

2.

Jehova ananena mbingu kiti cha enzi inchi nayo kituo cha miguu yake.

3.

Naitajia bwana kuwa na mabawa ni ruke kama ndege niende kwa baba

4.

Unatenda maovu na kwabudu vinyago usipo tambua kile ulicho umbiwa.

Commentaire

Com : -Una kunywa malovu na kwabudu vinyago usipo tambua kile ulicho umbi wa.

-Una chonga sanamu " " " " " " "