SISI NI WAGENI — Cantiques EUJC

N° 306

SISI NI WAGENI

1.

Sisi ni wageni kwa inchi ya Babeli sisi tulichukuliwa wafungwa na wana wa mateso.

Refrain

- Baba wa mbingu tazama wana kando ya mito ya babeli.

- Wakuchunga sayuni

- Wakiomboleza

3.

Tuliketi uko kwa inchi ya babali. watu wote wa babeli twimbe wimbo za sayuni kule yerusalema.

4.

kwimba sisi nyimbo za sayuni. kwa inchi ya ugeni nyimbo zetu za sayuni kule yerusalema, yerusalema, yerusalema inchi ya wateule, wateule wa bwana yerusalema

inchi ya wateule.