N° 307
SALAMU KWENU
1.
Salamu kwenu, Salamu kwenu , salamu kwenu rafiki za mufalume enyi wajoli wa neno la mungu salamu kwenu na furaha kubwa "Jehova mungu awa linde kwa matendo yenu awalinde katika safari kwa tendo pia kwa tamko yeye yu mwamba "2x
Refrain
Basi eh we baba na we mama upingapo neno la mungu "Basi we utatupwa katika jehanamu "2X
2.
Sisi zote , sisi zote , sisi zote tupo kama wageni jazareni na mambo wajoli za ulimwenguni tutapata uzima yesu wa mungu atatuokoa katika ziki zote atulinde katika safari kwa tendo pia kwa tamko tusimukanushe.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand