WATU WA ZAMANI — Cantiques EUJC

N° 309

WATU WA ZAMANI

1.

Watu wa zamani kujikuza kwa anasa zao yesu uwambia uondoke kwangu misiwajuwi.

Refrain

Maombolezo iyoyowe ah ! iyoyowe ! a wajoli iyoyowe mimi siwajuwi.

2.

Tufate yesu wajoli tupewe nasi uzima wa milele.

3.

Rafiki zangu yoyoyo musitarajie anasa haba furaha nyingi yoyoyo ziko mbinguni juu kwa mungu baba.