ENYI WAJOLI WA BWANA — Cantiques EUJC

N° 312

ENYI WAJOLI WA BWANA

1.

Enyi wajoli wa bwana tutafute ndugu zetu walio mu dunia sisi awa tuwape hekima njema wakumbuke jambo gani walimwasiya mungu wao.

Refrain

Eh ukisema kama unajua mungu utakatifu wa roho mwema ni wapi"2x

Commentaire

Com : -Ukisema kama unajua viote utakatifu wa roho mwema ni wapi.

-Kujua mungu ni kutimiza neno " " " " " "

-Kujua mungu sikwabudu sanamu" " " " " "

2.

Sisi awa tu wa deni kwa naziri tulio apa mbele yake mungu wetu sisi awa tulio tumwa kuokowa wafungwa walio mu duniani.