N° 316
ENYI WATEULE WA MUNGU
1.
Enyi wateule wa mungu wa pakwa mafuta wa bwana wajoli tuna wasalimu yoyoyo kwa jina la bwana.
2.
Mambo mengi tuliona kupigwa kushutumiwa hatukwacha neno ili wajoli tunawasalimu yoyo yo kwa jina la bwana.
3.
Roho mwama shuka kwetu onesha uweza wako utukuzwe ulimwengu duniani pote wajoli tuna wasalimu yoyoyo kwa jina la bwana.
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand