N° 317
HUDUMA ZOTE
1.
1. Huduma zote za duniani (huduma) azikosi torati yoyo ndani yake ¨2x ndipo mungu akamupatia Musa eh Musa sheria izi kumi ¨nendeni muni hudumie ¨2x eh wajoli wangu . -Bwana akanena kwa sheria zote ni tazigawa yoyo sehemu izi mbili ¨umupende bwana mungu kwa moyo wako wote , umupende jirani yako kwa nafsi yako yote ¨2x
Refrain
¨Nahomi naye akanena¨ ewe Rutu wangu nimekwisha kuwa mukongwe
rejeeni nyumbani mwa wa zazi , eé wajoli wangu rejeeni nyumbani mwa wazazi .
Affichage
Petit
Normal
Grand
Très grand
Commentaire
-Mimi sina cha kukukabiza rejeeni nyumbani mwa wazazi
-Mimi ¨ ¨ kukulisha ¨ ¨ ¨ ¨ ¨
-Mimi ¨ ¨ kukuvika ¨ ¨ ¨ ¨ ¨
-Mimi ¨ na wana waume ¨ ¨ ¨ ¨ ¨
-Mimi ¨ na A E
Eh wajoli wangu rejeeni nyumbani mwa wazazi
¨Rutu akaomboleza ¨2x Eh we mamangu sitakuacha kamwe nitaketi mahali uketipo nita vaa chochote uvaacho nita jilaza mahali ulalapo mungu wako alie hai ni wangu pia atatukirimiya wokovu atatupa uzima wa milele.