KATIKA WINGI WA MAFUNUO — Cantiques EUJC

N° 318

KATIKA WINGI WA MAFUNUO

1.

Katika wingi wa mafunuo nilipewa mwiba mwilini mwangu nikasii mungu mara tatu aniondoshe mwiba.

Refrain

Kutaka ni kwangu, kutaka ni kwangu kutenda kilichema siwezi eh baba, eh baba ju ya nini ubaya

ni ndani mwangu

- Na madawa siache eh baba , eh baba ju ya nini ubaya ni ndani mwangu.

- Na bulozi siache ¨ ¨ ¨ ¨ ¨ ¨ ¨

- Na chuki siache ¨ ¨ ¨ ¨ ¨ ¨ ¨

3.

2.Nitazamapo katika viungo via mwili wangu naona baba minaona sheria nyingine kwangu.

- Sheria nyingine kutoka kwa musa naona , naona kweli sheria nyingine kwangu

- Sheria nyingine kutoka ku jamaa ¨ ¨ ¨ ¨ ¨ ¨

- Sheria nyingine kutoka ku marafiki