KWANGUKA KWA JOKA — Cantiques EUJC

N° 11

KWANGUKA KWA JOKA

1.

Njoni kwa yesu mimi nawe njia tuonya hatuijui juwa jioni na mwenyezi Mungu na tu mu sii njo.

Refrain

(Wajoli twimbe na faraha) na furaha tutaiona (tutaiona)mioyoi ikitakaswa sana (kwake)kwake mwokozi kuonana(kuonana) na milele kukaa.

3.

Wana na wazee watwambia furahaini mukisikia (wajoli) ndie Mufalme wetu pia natumusii njo.

4.

Tumukaribie eh sisi zote Yesu Bwana utualika tumupingapo nimuoti na tumusii njo